figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
CCM huwa wanabeba watu kutoka sehemu mbalimbali nchini ili kujaza Uwanja hasa anapokuwepo Kiongozi wa Kitaifa kama Rais. Na kweli uwanja unajaa na Mgeni anafurahi.
Japo ni hatari na hairuhusiwi kisheria. Wala Polisi hawana cha kufanya.
Ila hawa Watanzania kuitwa ng'ombe napingana nalo. Nadhani nguvu itumike kuwaelimisha kuliko kuwadhalilisha.