makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,696
- 109,218
🐮🐄 nao si huwa wanabebwa kama hivyo?
They are really cowsCCM huwa wanabeba watu kutoka sehemu mbalimbali nchini ili kujaza Uwanja hasa anspokuwepo Kiongozi wa Kitaifa kwa Rais. Na kweli uwanja unajaa na Mgeni anafurahi.
Japo ni hatari na hairuhusiwi kisheria. Wala Polisi hawana cha kufanya.
Ila hawa Watanzania kuitwa ng'ombe napingana nalo. Nadhani nguvu itumike kuwaelimisha kuliko kuwadhalilisha.
View attachment 3376004
Wamepelekewa baiskeli wapige pedeliYaani Kanda Yote Ya Ziwa Wamepanda Malori
Hii yote ni kujaribu kufunika aibuCCM huwa wanabeba watu kutoka sehemu mbalimbali nchini ili kujaza Uwanja hasa anspokuwepo Kiongozi wa Kitaifa kwa Rais. Na kweli uwanja unajaa na Mgeni anafurahi.
Japo ni hatari na hairuhusiwi kisheria. Wala Polisi hawana cha kufanya.
Ila hawa Watanzania kuitwa ng'ombe napingana nalo. Nadhani nguvu itumike kuwaelimisha kuliko kuwadhalilisha.
View attachment 3376004
Inasikitisha sana🐮🐄 nao si huwa wanabebwa kama hivyo?
😁😁🤣😄😄Wamepelekewa baiskeli wapige pedeli
Ova
Maandishi yako tu, yanaashiria unakubalia na mtoa hiyo hoja ya "Ng'ombe'.CCM huwa wanabeba watu kutoka sehemu mbalimbali nchini ili kujaza Uwanja hasa anspokuwepo Kiongozi wa Kitaifa kwa Rais. Na kweli uwanja unajaa na Mgeni anafurahi.
Japo ni hatari na hairuhusiwi kisheria. Wala Polisi hawana cha kufanya.
Ila hawa Watanzania kuitwa ng'ombe napingana nalo. Nadhani nguvu itumike kuwaelimisha kuliko kuwadhalilisha.
View attachment 3376004
CCM huwa wanabeba watu kutoka sehemu mbalimbali nchini ili kujaza Uwanja hasa anapokuwepo Kiongozi wa Kitaifa kama Rais. Na kweli uwanja unajaa na Mgeni anafurahi.

Walaumu Polisi walioanzisha hilo jina; maana waliwakana waliokufa Meatu wakasema binadamu hao ni mifugo iliyotoka kwenye chanjo na utambuzi, Sasa unatulaumu sisi shehe?CCM huwa wanabeba watu kutoka sehemu mbalimbali nchini ili kujaza Uwanja hasa anapokuwepo Kiongozi wa Kitaifa kama Rais. Na kweli uwanja unajaa na Mgeni anafurahi.
Japo ni hatari na hairuhusiwi kisheria. Wala Polisi hawana cha kufanya.
Ila hawa Watanzania kuitwa ng'ombe napingana nalo. Nadhani nguvu itumike kuwaelimisha kuliko kuwadhalilisha.
View attachment 3376004
Kamanda wa Polisi wa CCM Simiyu ndo alianzisha hilo jina kuwakana waliokufa akidai ni mifugo iliyotoka kwenye chanjo na utambuzi, sasa alaumiwe nani?Nadhani wanaowaita wenzao ng'ombe, wao huitwa nyumbu.