figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Kweli kabisa kuwa ng'ombe wa CCM ni kitu dhalili sana.CCM huwa wanabeba watu kutoka sehemu mbalimbali nchini ili kujaza Uwanja hasa anspokuwepo Kiongozi wa Kitaifa kwa Rais. Na kweli uwanja unajaa na Mgeni anafurahi.
Japo ni hatari na hairuhusiwi kisheria. Wala Polisi hawana cha kufanya.
Ila hawa Watanzania kuitwa ng'ombe napingana nalo. Nadhani nguvu itumike kuwaelimisha kuliko kuwadhalilisha.
View attachment 3376004
Mkuu naungana na wewe kuwaita hao raia ng'ombe ni kuwakosea heshima na kuwadhalilisha ng'ombe, ng'ombe wanafaida angalau unaweza kupata nyama, ngozi, maziwa n.k.Ila hawa Watanzania kuitwa ng'ombe napingana nalo. Nadhani nguvu itumike kuwaelimisha kuliko kuwadhalilisha.
Ngo'mbe wa mamaCCM huwa wanabeba watu kutoka sehemu mbalimbali nchini ili kujaza Uwanja hasa anspokuwepo Kiongozi wa Kitaifa kwa Rais. Na kweli uwanja unajaa na Mgeni anafurahi.
Japo ni hatari na hairuhusiwi kisheria. Wala Polisi hawana cha kufanya.
Ila hawa Watanzania kuitwa ng'ombe napingana nalo. Nadhani nguvu itumike kuwaelimisha kuliko kuwadhalilisha.
View attachment 3376004
Umewahi kwenda mnadani ukaona yale malori yanayoleta ng'ombe? Amini sikupangi ila ni mulemuleeeCCM huwa wanabeba watu kutoka sehemu mbalimbali nchini ili kujaza Uwanja hasa anspokuwepo Kiongozi wa Kitaifa kwa Rais. Na kweli uwanja unajaa na Mgeni anafurahi.
Japo ni hatari na hairuhusiwi kisheria. Wala Polisi hawana cha kufanya.
Ila hawa Watanzania kuitwa ng'ombe napingana nalo. Nadhani nguvu itumike kuwaelimisha kuliko kuwadhalilisha.
View attachment 3376004
ππππIkiwa wamepanda kwa hiari yao wakijua fika wanasafirishwa mithili ya ng'ombe basi hakuna kosa katika kuwaita ng'ombe.
Hao ni ng'ombe, ng'ombe wa mama.
View attachment 3376008
ππ€Mkuu naungana na wewe kuwaita hao raia ng'ombe ni kuwakosea heshima na kuwadhalilisha ng'ombe, ng'ombe wanafaida angalau unaweza kupata nyama, ngozi, maziwa n.k.
CowWale ni Ng'ombe wa mama aka Caw.
Nadhani ulikuwa unataka kupublish zaidi kuliko kuonyesha huruma kwa kuitwa ng'ombeCCM huwa wanabeba watu kutoka sehemu mbalimbali nchini ili kujaza Uwanja hasa anspokuwepo Kiongozi wa Kitaifa kwa Rais. Na kweli uwanja unajaa na Mgeni anafurahi.