Watu wa CCM Wanaobebwa kwenye Malori kuitwa ng'ombe ni kuwadhalilisha

Yupi anayewadhalilisha, ni anayewapakia kwenye malori ya kusafirishia Ng'ombe au anayewaita Ng'ombe?
 
They are really cows
 
Hii yote ni kujaribu kufunika aibu
 
Maandishi yako tu, yanaashiria unakubalia na mtoa hiyo hoja ya "Ng'ombe'.
 
Nimeona kikundi cha wanawake kinaitwa "WANAWAKE WA MAMA" Nikajisemea moyoni " 'Usagaji umeanza sasa'!!
 
Ng'ombe kifkra na kiakili , unabebwa kwenye mafuso na trela za mifugo kusikiza hotuba ikisomwa Kwa dk 20 isiyo kusaidia lolote
We ni mfugo ng'ombe tuu
 
Ni kweli kabisa, hawa Watanzania masikini hawaendi kwa kupenda kwao.
Kule Halmashauri (W) Mkuranga, hawa masikini huwa wanatishwa kuwa watatolewa kwenye orodha ya kaya wanaostahili kupewa hela na TASAF kama hawataenda kwenye mikutano ya viongozi.

 
Walaumu Polisi walioanzisha hilo jina; maana waliwakana waliokufa Meatu wakasema binadamu hao ni mifugo iliyotoka kwenye chanjo na utambuzi, Sasa unatulaumu sisi shehe?
 
Nadhani wanaowaita wenzao ng'ombe, wao huitwa nyumbu.
Kamanda wa Polisi wa CCM Simiyu ndo alianzisha hilo jina kuwakana waliokufa akidai ni mifugo iliyotoka kwenye chanjo na utambuzi, sasa alaumiwe nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ