Watu wa Dar hawapendi wageni

Tatizo mkiona picha wanazotupia ndugu zenu huko mitandaoni mnaanza kuwasaka nao hawasemi kuwa kazi zao ni udalali.
Mkija chenga zinaanza
Nimecheka sana, eti chenga zinaanza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndugu bhana, utasikia eti nimeshashuka hapa kwa Magu njoo unichukue maana nimeazima simu tu yangu ilipotea ndiyo maana sikukupa taarifa kabla. Na mimi nakujibu niko Ukraine kwani hujui kama kuna Vita [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mambizi😝😝😝
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…