Capslock
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 3,089
- 4,816
[emoji23]
Yale ni ya wachache mno population ya watu milion 7+ lakini wanaoitoa kimasomaso dar usikute hawafiki hata laki 5, wengi wanamiliki nyumba za uridhi sio jasho lao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yale ni ya wachache mno population ya watu milion 7+ lakini wanaoitoa kimasomaso dar usikute hawafiki hata laki 5, wengi wanamiliki nyumba za uridhi sio jasho lao.
Yale mabangaloo tunayaonaga kwenye mapicha-picha Ni ya kina Nani wajemeni??[emoji1787][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app