Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 9,266
- 7,426
Umepatwa na yapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wageni wengi ni wachawi, wabakaji nk
Wee uduguuu nakutafutaaa,[emoji23][emoji23][emoji23] Jamani khaaa!!
Dasalam ni jiji la kibiashara. Elewa neno "kibiashara".Tuache utani watu wa Dar wengi hawapendi wageni kabisa
Kuna mpya gani?😂😂😂Wee uduguuu nakutafutaaa,
Wee usijisahaulishe, umesahau mara hii? Hebu njooo kulee kwani.Kuna mpya gani?[emoji23][emoji23][emoji23]
Nakucheck soonWee usijisahaulishe, umesahau mara hii? Hebu njooo kulee kwani.
Ouk poaah.Nakucheck soon
Umewajaribu wote?Tuache utani watu wa Dar wengi hawapendi wageni kabisa
Alafu yuke wizo wako comedian yupo wapi? Hebu mtag mwambie namtafuta[emoji23]Kuna mpya gani?[emoji23][emoji23][emoji23]
Hao siyo watu wa Dar, hao uliokutana nao wewe ni wageni wa Dar.Tuache utani watu wa Dar wengi hawapendi wageni kabisa
Unataka kumpa nini? Mwenyewe namtafuta haonekani ujue!! Km maokoto nipe nimtunzie 😂😂😂Alafu yuke wizo wako comedian yupo wapi? Hebu mtag mwambie namtafuta[emoji23]
Yale mabangaloo tunayaonaga kwenye mapicha-picha Ni ya kina Nani wajemeni??🤣😂Dar maisha ni magumu sana, mtu anakaa chumba kimoja kama kuku atahitaji mgeni kweli? Watu wengi dar wanatafuta hela kwa ajili ya gheto, mavazi, chakula na starehe tu, wengi maendeleo wanayasikia kwenye TV tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona Dar ndio inaongoza kwa wingi wa nyumba za wageni??