Watu wa Dar hawapendi wageni

Watu wa Dar hawapendi wageni

Unakuja kufanya nini?
Home kila mtu anatoka asubuhi tunaonana jioni saa 1..Sasa wewe mgeni unakuja home eti nikakutembeze Koko beach na kushangaa mji nani anao huo muda,
Pumbafu kabisa hata kama ni ndugu
 
Dar maisha ni magumu sana, mtu anakaa chumba kimoja kama kuku atahitaji mgeni kweli? Watu wengi dar wanatafuta hela kwa ajili ya gheto, mavazi, chakula na starehe tu, wengi maendeleo wanayasikia kwenye TV tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yale mabangaloo tunayaonaga kwenye mapicha-picha Ni ya kina Nani wajemeni??🤣😂
 
Back
Top Bottom