Watu wa Dar Hivi Ex Ni nani?

Ex ni mfumo wa kielectronics ambao mara nyingi hutegemea tanesco wameamkaje siku hiyo
 
Watu wakoani bana miaka yako tafadhari
 
Neno ex maana ni mbili.
1.expired Yan ulishatumia na haifai tena Kwa matumizi yako
2.exhausted Yan imechoka mbaya Kwa jins ilivotumika
 
Jamani tuwe makini sana na vitu kama hivi,
Unaweza kujikuta unaingia kwenye matatizo bila kupenda na ndio shida ya watanzania wengi na inatuponza sana.
Unakuta mtu yupo seriously kabisa anasoma comment yangu badala andike ya kwake πŸ˜…
We utakua umetokea huko FB unaleta pigo za kishamba huku kwa ma great thinker...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…