Watu wa Dar Hivi Ex Ni nani?

Watu wa Dar Hivi Ex Ni nani?

Ex ni mfumo wa kielectronics ambao mara nyingi hutegemea tanesco wameamkaje siku hiyo
 
Watu dar naomba kuwauliza ivi ex ni nani..?Ni mwanaume/Mwanamke ulielala nae au uliempenda au kuishi nae Kisha mkaachana ndio mnamuita ex..?

Ex wangu fulani Kwa kigezo kipi mpaka awe EX..??

Mtusaidie watu wa mikoani mana wengi hatuelewi 🙏 Hatuna cha kuwalipa ila mkija mkoani kwenye misiba tunawaahidi mtakuwa wa kwanza Kula ili muwahi kurudi dar..
Watu wakoani bana miaka yako tafadhari
 
Ngoja waje kukupa muongozo...

images.jpeg

images (1).jpeg


Cc: Mahondaw
 
Neno ex maana ni mbili.
1.expired Yan ulishatumia na haifai tena Kwa matumizi yako
2.exhausted Yan imechoka mbaya Kwa jins ilivotumika
 
Jamani tuwe makini sana na vitu kama hivi,
Unaweza kujikuta unaingia kwenye matatizo bila kupenda na ndio shida ya watanzania wengi na inatuponza sana.
Unakuta mtu yupo seriously kabisa anasoma comment yangu badala andike ya kwake 😅
We utakua umetokea huko FB unaleta pigo za kishamba huku kwa ma great thinker...
 
Back
Top Bottom