Watu wa Dar mna kazi sana mtafika mmechoka

Swensa

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2024
Posts
2,880
Reaction score
4,295
Hapo ni nyie ndo mnapajua yani ni heka heka kila siku πŸ˜‚ hiyo yote kuwavuta kwenye chambo, Kuna mwingine ana mafuta ya nazi yani ni balaaπŸ˜‚ jua kwenu ni Kali sana
 
Ndo maana mm nashinda ndani.
DSM ukiwa mtu wa kutoka na Mshahara wako una Comma 1.

Basi sahau kuhusu Maendeleo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…