Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
π€£ π€£ π€£Mkuu wa mkoa wa DAR anayesubiri barua ni MtaKa ambaye kwa sasa yupo Niombe.
Anakuja DAR kuwaondolea changamoto za Mwendokasi, mpangilio mbovu wa biashara na wafanyabishara huku akitumika kuwaweka pamoja wanasiasa wa chama tawala kwa kuondoa makundi.
Anakuja DAR kuanza kukusanya kura za makundi yote hasa ukizingatia hana skendo na anamarafiki upinzani na ndani ya chama.
Hoja kubwa ni lini mnatamani aje kuripoti kazini? Ni kipindi cha Masika au aingie kiangazi?
Vipi kuhusu Xi Jingping?Hata akija Putin hawezi kumaliza changamoto ya mwendokasi
Kule Njombe amefanya nini. Ht hivyo Njombe ni km wilaya tuMkuu wa mkoa wa DAR anayesubiri barua ni Mtaka ambaye kwa sasa yupo Njombe.
Anakuja DAR kuwaondolea changamoto za Mwendokasi, mpangilio mbovu wa biashara na wafanyabishara huku akitumika kuwaweka pamoja wanasiasa wa chama tawala kwa kuondoa makundi.
Anakuja DAR kuanza kukusanya kura za makundi yote hasa ukizingatia hana skendo na anamarafiki upinzani na ndani ya chama.
Hoja kubwa ni lini mnatamani aje kuripoti kazini? Ni kipindi cha Masika au aingie kiangazi?
Chalamila ana akili sana sema sio za uongozi...akili zake ni za uchekeshaji na vimbwanga vingine vingi ndo maana ukimsikiliza lazima uchekechalamila is the best
Mtak tena aende Dar πππ. Hilo Jiji apewe Mkumba alikuwa RC Tanga na alitumbulliwa kwa Kuchongewa na Wapiga dili. Chalamilla ni Mzuri kwasababu siyo mnafiki ila Mbadala wake awe Mkumba au RC wa Morogoro wa Sasa Malima. Wanaotosha kwa Jiji la Dar kwa sasaMkuu wa mkoa wa DAR anayesubiri barua ni Mtaka ambaye kwa sasa yupo Njombe.
Anakuja DAR kuwaondolea changamoto za Mwendokasi, mpangilio mbovu wa biashara na wafanyabishara huku akitumika kuwaweka pamoja wanasiasa wa chama tawala kwa kuondoa makundi.
Anakuja DAR kuanza kukusanya kura za makundi yote hasa ukizingatia hana skendo na anamarafiki upinzani na ndani ya chama.
Hoja kubwa ni lini mnatamani aje kuripoti kazini? Ni kipindi cha Masika au aingie kiangazi?
Nampendea hilo ...ana akili...Chalamila ana akili sana sema sio za uongozi...akili zake ni za uchekeshaji na vimbwanga vingine vingi ndo maana ukimsikiliza lazima ucheke