Best in comedy and entertainment.chalamila is the best
Period.
Leadership skills...NIL
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Best in comedy and entertainment.chalamila is the best
Umenikumbusha stori moja ya jamaa alikuwa mwajiriwa mpya.. sasa ikatokea ofisini ishu ilitakiwa ipigwe juu kwa juu ila jamaa akakataa na mpango kushindikana. Boss akampongeza sana kijana kwa uzalendo na kutopenda rushwa. Kesho yake sekretari akampa barua ya kuhamishiwa bush ndani ndani ili akalete chachu ya maendeleo.Aende Rukwa akafungue fursa za uwekezaji na kuuchangamsha Mkoa!!
mi nadhani ajenge mwendokasi huko njombe tujiridhishe na sifa unazomwagia 🐒Mkuu wa mkoa wa DAR anayesubiri barua ni Mtaka ambaye kwa sasa yupo Njombe.
Anakuja DAR kuwaondolea changamoto za Mwendokasi, mpangilio mbovu wa biashara na wafanyabishara huku akitumika kuwaweka pamoja wanasiasa wa chama tawala kwa kuondoa makundi.
Anakuja DAR kuanza kukusanya kura za makundi yote hasa ukizingatia hana skendo na anamarafiki upinzani na ndani ya chama.
Hoja kubwa ni lini mnatamani aje kuripoti kazini? Ni kipindi cha Masika au aingie kiangazi?
Sio kwamba nashabikia but yakuoasa uelewe kuwa biashara ya ukahaba bdio biashara kongwe na biashara ambayo haijawahi kutetereka kwa 75% 3 years consecutively!!Hili la umalaya ataliweza lakini katika mengine yote Chalamila alianza kuyashindwa hata kabla hajajitambulisha.