Watu wa Dar: Mshaurini jamaa yangu anakuja Dar kwa mara ya kwanza

Watu wa Dar: Mshaurini jamaa yangu anakuja Dar kwa mara ya kwanza

Wakuu,

Kuna jamaa yangu yuko safarini kuja Dsm uko kuosha macho kwa Mara ya kwanza.

Mshaurini wapi pakupatia michongo ya hela na kumpa tahadhari pia, elimu yake form 4.

Chato kwa sasa.
Sasa wakuu mbona hamjatoa msaada wowote watu wamekua wabinafsi
 
Alafu alivyo mjinga makondakta anatuambia mwanaume wa ukweli haogopi dole ***** Mimi nimeamini huyu mtu punga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anaona kuingia kidole kitu rahisi sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anaona kuingia kidole kitu rahisi sana
Yeye anaona rahisi kwakuwa ndiyo shughuli iliyompa ulaji na anaendelea kuiafanya
 
Yeye anaona rahisi kwakuwa ndiyo shughuli iliyompa ulaji na anaendelea kuiafanya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka kama mazuri hivi aliwaza nini lakini
 
Back
Top Bottom