Kibwengo
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 6,826
- 5,302
- Thread starter
- #21
Sasa wakuu mbona hamjatoa msaada wowote watu wamekua wabinafsiWakuu,
Kuna jamaa yangu yuko safarini kuja Dsm uko kuosha macho kwa Mara ya kwanza.
Mshaurini wapi pakupatia michongo ya hela na kumpa tahadhari pia, elimu yake form 4.
Chato kwa sasa.