Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aje kwanza kupimwa tezi dumeWakuu kuna jamaa yangu yuko safarini kuja Dsm uko kuosha macho kwa Mara ya kwanza,
mshaurini wapi pakupatia michongo ya hela na kumpa tahadhari pia,elimu yake form 4.
Chato kwa sasa.
Mumpe mbinu ya kuwakwepa, wa mikoani hatunaga hayo magonjwaAje kwanza kupimwa tezi dumeView attachment 756121
Msukuma mwenzake kasema kuwa mwanaume haogopi dole apimwe tu hakuna namnaMumpe mbinu ya kuwakwepa, wa mikoani hatunaga hayo magonjwa
mpe namba yanguWakuu kuna jamaa yangu yuko safarini kuja Dsm uko kuosha macho kwa Mara ya kwanza,
mshaurini wapi pakupatia michongo ya hela na kumpa tahadhari pia,elimu yake form 4.
Chato kwa sasa.
Alishawahi kuwatukana wanaume wa dar humu ndaniWakuu,
Kuna jamaa yangu yuko safarini kuja Dsm uko kuosha macho kwa Mara ya kwanza.
Mshaurini wapi pakupatia michongo ya hela na kumpa tahadhari pia, elimu yake form 4.
Chato kwa sasa.
Nimeupenda uandishi wako mkuu!!jamaa yko hyo yuko jf tjue kwnz