Achinjwe ana Shingo? Dini gai wewe? nikupe maelezo yanayokataza other Ways Shetani anakusaidia kuvuruga Dunia kwa Matetezi yakosasa kwangu ni halal ww ng'ang'ana unavyojua na kwa taarifa yako cku iz nguruwe na chinjwa cio kma zaman wana piga nyundo
....tukae....tukaenda meku[emoji1]Heri sisi wa Moshi tunachanganya na Kichaga....
Kinaitwa "kichanglish"....tukae....tukaenda meku[emoji1]
POLE BABU, KAMA KISWAHILI SI LUGHA YA ASILI KATIKA TAIFA UTAULAUMU MKOA ETI HAWATUMII KISWAHILI, HUKU KIHAYA MPAKA NGAZI ZA JUU, KARIBU KWA KABILA LA MA GENIUSKule kagera mtoto akijua kuongea kiswahili vizuri anapesa uongozi
yan umeenda mulemule mkuuWaaat!aaah yani ths thread is liiiiiiiiike... hivi mtunzi uliwaza wat?am trully suprised kwa such thread.anyways ni thread amaizing ila imejaa figisufisu za kisupush
Umecomment kama bado viroba vipo kichwani ivii! Kunywa maji mengi mkuu,akili itarudi kwy mstari wakeHaiingii Akilini unaposema umesomea shule za kikatoliki it means umekula sana minguruwe minyama haramu... so kama haupo dar basi sawa ila kama upo dar basi jua umo kwenye kumbo hilo hilo...... Kilatini na Kiingereza wapi na wapi ushawasikia Waitaliano wakiongea English ni vitimbi tupu... ni full comedian...
Unajua Vyakula Halal na Haramu wewe bora uulize na sio kusema Kwako ni Halal... Kula Kunguru basi maana ni jamii moja... Huyo Mnyama Kwanza Hachinjwi.. anauliwa tu kibudu... DiniZenu Mmesoma wapi? ndio maana kwenye Hoja za Hakuna Mungu mnaanguka sana... hamumjui hata Mungu wenu mnayemuabudu.... mwadhania anapenda wasiotaka atakacho...
U know, i was passing by nilipokutananae pale muhimbili,the guy amekonda ile mbaya,amazing kama sio yeye vile[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hakuna neno nalichukia kama ...I was like.....!Au wanavyotumia vibaya neno Amazing...utasikia yaani tulipiga picha amazing flani hivi....!Yaani!!!Mungu nisamehe kwakweli...
Hahahahaaaaa....Halaf anakuambia I was like ...did I know this dude?it was amazing kwakweliU know, i was passing by nilipokutananae pale muhimbili,the guy amekonda ile mbaya,amazing kama sio yeye vile[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hulka ya kuongea kiswanglish Dar inakua kwa kasi sana,mbaya zaidi ni pale mtu anataka kubwabwaja katika suala la kitalamu zaidi. Wadada nao ndo komesha utasikia,u know...,i was like kwamba..,yani kero tupu.Mabishoo nao ndo kabisaaa! Wanachafua lugha ya malkia. Kama ukiamua kuchana yai chana usichangane na kibantu.
Bro hii inatokana na jinsi tulivyofundishwa na hizi shule zetu zinazotilia mkazo lugha ya kiingereza kufundishia kila kitu. Personally sioni kama ni kitu kibaya kuchanganya maneno alimradi ujumbe wako uufikishe.Hulka ya kuongea kiswanglish Dar inakua kwa kasi sana,mbaya zaidi ni pale mtu anataka kubwabwaja katika suala la kitalamu zaidi.
Wadada nao ndo komesha utasikia,u know...,i was like kwamba..,yani kero tupu.Mabishoo nao ndo kabisaaa! Wanachafua lugha ya malkia.
Kama ukiamua kuchana yai chana usichangane na kibantu.