Watu wa Dar na kingereza cha hapa na pale

Watu wa Dar na kingereza cha hapa na pale

sasa kwangu ni halal ww ng'ang'ana unavyojua na kwa taarifa yako cku iz nguruwe na chinjwa cio kma zaman wana piga nyundo
Achinjwe ana Shingo? Dini gai wewe? nikupe maelezo yanayokataza other Ways Shetani anakusaidia kuvuruga Dunia kwa Matetezi yako
 
Mtu anayezungumza lugha mbili, ni jambo la kawaida sana wakati mwingine kuzichanganya katika matumizi. Wapo wanaofanya hivyo kwa kuwa ndivyo walivyozowea kutokana na muktadha waliomo, na wengine hufanya hivyo kwa mbwembwe tu. Sidhani kama mbwembwe ni kosa. By the way, kuna watu mcharo kweli wanavyozichanganya hadi mwenyewe utapata raha kuwasikia. Ila, kuna wengine wanaudhi sana.
 
Kule kagera mtoto akijua kuongea kiswahili vizuri anapesa uongozi
POLE BABU, KAMA KISWAHILI SI LUGHA YA ASILI KATIKA TAIFA UTAULAUMU MKOA ETI HAWATUMII KISWAHILI, HUKU KIHAYA MPAKA NGAZI ZA JUU, KARIBU KWA KABILA LA MA GENIUS
 
debate; first presenter................
thank you..chairman
thank you..Secretary
thank you..time keeper
thank you..majority & minority
thank you..madam's and gentle's and
thank you..teacher on duty..

Good morning everybody!..
/me offcourse yes, i agree!1
 
Waaat!aaah yani ths thread is liiiiiiiiike... hivi mtunzi uliwaza wat?am trully suprised kwa such thread.anyways ni thread amaizing ila imejaa figisufisu za kisupush
yan umeenda mulemule mkuu
 
Haiingii Akilini unaposema umesomea shule za kikatoliki it means umekula sana minguruwe minyama haramu... so kama haupo dar basi sawa ila kama upo dar basi jua umo kwenye kumbo hilo hilo...... Kilatini na Kiingereza wapi na wapi ushawasikia Waitaliano wakiongea English ni vitimbi tupu... ni full comedian...

Umecomment kama bado viroba vipo kichwani ivii! Kunywa maji mengi mkuu,akili itarudi kwy mstari wake
 
Unajua Vyakula Halal na Haramu wewe bora uulize na sio kusema Kwako ni Halal... Kula Kunguru basi maana ni jamii moja... Huyo Mnyama Kwanza Hachinjwi.. anauliwa tu kibudu... DiniZenu Mmesoma wapi? ndio maana kwenye Hoja za Hakuna Mungu mnaanguka sana... hamumjui hata Mungu wenu mnayemuabudu.... mwadhania anapenda wasiotaka atakacho...

Yule dada aliyebakwa na kuchukuliwa video alibakwa na mwamedi na rama
 
U know am like nawashangaa watu wa Dar
 
Hakuna neno nalichukia kama ...I was like.....!Au wanavyotumia vibaya neno Amazing...utasikia yaani tulipiga picha amazing flani hivi....!Yaani!!!Mungu nisamehe kwakweli...
 
Hakuna neno nalichukia kama ...I was like.....!Au wanavyotumia vibaya neno Amazing...utasikia yaani tulipiga picha amazing flani hivi....!Yaani!!!Mungu nisamehe kwakweli...
U know, i was passing by nilipokutananae pale muhimbili,the guy amekonda ile mbaya,amazing kama sio yeye vile[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
U know, i was passing by nilipokutananae pale muhimbili,the guy amekonda ile mbaya,amazing kama sio yeye vile[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hahahahaaaaa....Halaf anakuambia I was like ...did I know this dude?it was amazing kwakweli
 
Hulka ya kuongea kiswanglish Dar inakua kwa kasi sana,mbaya zaidi ni pale mtu anataka kubwabwaja katika suala la kitalamu zaidi. Wadada nao ndo komesha utasikia,u know...,i was like kwamba..,yani kero tupu.Mabishoo nao ndo kabisaaa! Wanachafua lugha ya malkia. Kama ukiamua kuchana yai chana usichangane na kibantu.

Jibu - MBWEMBWE, kila mtu anazo, usipokuwa nazo hujiamini..
 
Nguruwe ni mnyama flani amaizing like unaweza kumla hadi ukahisi upo firdaus waalahi nakuambieni ingekuwa good muendelee kukatazana ili wasiishe!
 
Hulka ya kuongea kiswanglish Dar inakua kwa kasi sana,mbaya zaidi ni pale mtu anataka kubwabwaja katika suala la kitalamu zaidi.

Wadada nao ndo komesha utasikia,u know...,i was like kwamba..,yani kero tupu.Mabishoo nao ndo kabisaaa! Wanachafua lugha ya malkia.

Kama ukiamua kuchana yai chana usichangane na kibantu.
Bro hii inatokana na jinsi tulivyofundishwa na hizi shule zetu zinazotilia mkazo lugha ya kiingereza kufundishia kila kitu. Personally sioni kama ni kitu kibaya kuchanganya maneno alimradi ujumbe wako uufikishe.
 
Back
Top Bottom