Watu wa Dar na kingereza cha hapa na pale

mm1

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2014
Posts
569
Reaction score
170
Hulka ya kuongea kiswanglish Dar inakua kwa kasi sana,mbaya zaidi ni pale mtu anataka kubwabwaja katika suala la kitalamu zaidi.

Wadada nao ndo komesha utasikia,u know...,i was like kwamba..,yani kero tupu.Mabishoo nao ndo kabisaaa! Wanachafua lugha ya malkia.

Kama ukiamua kuchana yai chana usichangane na kibantu.
 
Hata humu jf wapo kibao sema nawakaushia!
 
Hulka ya kuongea kiswanglish Dar inakua kwa kasi sana,mbaya zaidi ni pale mtu anataka kubwabwaja katika suala la kitalamu zaidi.

Wadada nao ndo komesha utasikia,u know...,i was like kwamba..,yani kero tupu.Mabishoo nao ndo kabisaaa! Wanachafua lugha ya malkia.

Kama ukiamua kuchana yai chana usichangane na kibantu.
Mtumwa kazini akilinda maslahi ya Bwanake..mwingereza.
Ningekuona wa maana kama ungesema wanachafua KISWAHILI.
Penda vitu vya kwenu
 
Labda wanataka kuanzisha "Tanzanian Pidgin English".
Watanzania tuithamini na tuishajihishe lugha yetu ya Kiswahili. Ila hawa waswanglish wananichefua sana
 
Me Sijui ile kabisa lakini hamna pa kuniacha...
 
Kule kagera mtoto akijua kuongea kiswahili vizuri anapesa uongozi
 
Mtumwa kazini akilinda maslahi ya Bwanake..mwingereza.
Ningekuona wa maana kama ungesema wanachafua KISWAHILI.
Penda vitu vya kwenu
hujasomeka
 
Dawa Yao ndogo akikujibu kiswanglish we mtupie vocabulary adimu lazima aende kwenye mstari...
 
Back
Top Bottom