Watu wa Dar, watu wa Dar, watu wa Dar. Gen z wa Dar nimewaita mara tatu

Watu wa Dar, watu wa Dar, watu wa Dar. Gen z wa Dar nimewaita mara tatu

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Historia inasema hakuna ukombozi ulioanzia mikoani katika nchi zote za ulimwengu.
Mageuzi yote yanaanzia Makao Makuu ya nchi.

AMINA
 
Yesuuuuu Yesuuuuuu yesuuu yesuuuuu
Hakuna mwenye Balls za kuandamana makao makuuu Dodoma
 
Gen Z ni balaa. Kwanza vitoto vinapost status kabisa na hawana uoga wowote ulee.

Screenshot_20251027_082750_WhatsApp.png
 
Back
Top Bottom