elly obedy
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 803
- 1,482
🤣🤣🤣umenikumbusha nikiwa form 2,ndugu wa Dar akaja kijijini akaomba matokeo yangu akakuta nipo position ya 3 kati ya watu 130. akajifanya sponsor likizo ijayo aje Dar tuisheni msimpe nauli ya kurudia.
manina tuisheni sikusoma na nauli ilibidi nikaombe kwa ndugu mwingine