Watu wa Dar

Watu wa Dar

umenikumbusha nikiwa form 2,ndugu wa Dar akaja kijijini akaomba matokeo yangu akakuta nipo position ya 3 kati ya watu 130. akajifanya sponsor likizo ijayo aje Dar tuisheni msimpe nauli ya kurudia.
manina tuisheni sikusoma na nauli ilibidi nikaombe kwa ndugu mwingine
🤣🤣🤣
 
Mimi nilikua nawadanganya natokea Kyela nakuja na mchele debe tatu,baasi akija kunipokea namwambia basi ilizidiwa mizigo kwahiyo wamefaulisha kwenye Lory mpaka kesho kutwa maana Tukuyu palikua na mvua nyingi,
Nikikaa siku mbili tàtu napokea magunia yangu Buguruni narudi ña pesa yangu moshi rombo baada ya kuuza ndisi...
 
Back
Top Bottom