Watu wa Geography...

Watu wa Geography...

Martin BM

Member
Joined
Jul 2, 2020
Posts
16
Reaction score
22
Ile nyota mtu anaonanga baada ya kupigwa kofi [emoji112] inaitwaje?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nmekumbuka mbali mnoooh lol

Kule kwetu msimu wa kiangazi kunakuwa na mbalamwezi Kuna wadudu wanawakawaka tunawaita vimulimuli
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bila shaka n nyanda za juu kusini kwa bondeni kidogo, huko n kwetu tunaita vimuli muli vinaruka ruka hewani.
 
Nimetumia longitude na latitude kibao kuangalia kusini bondeni hopelly Ni hapo hapo vimuli vimuli oooyee.
Alafu tulivyokuwa wadogo tulikuwa tunawakamata tunawaweka kwenye shimo ndiyo umeme huo yakhe.
 
Haswaaaaaah ni kwetu hukooooh kabisaaaa, kule kweny (Water water war) au nmekosea code?
 
Back
Top Bottom