Watu wa humu ni wabaguzi kwa sisi wa la saba

Watu wa humu ni wabaguzi kwa sisi wa la saba

From Meru

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2023
Posts
3,931
Reaction score
9,376
Hivi karibuni niliweka tangazo la kutafuta mchumba, hatimaye nimuoe huko mbeleni Mungu akipenda. Nikaeleza elimu yangu la saba na kazi nafanya za nguvu kwa nguvu yaani kumwaga zege na vibarua vya ujenzi na kubeba tofaari,
cha ajab ni watu wawili tu ndio walikuja PM. Bahat mbaya wako mbali na dalisalamu.

Niombe kuuliza, humu wote wakuu mmesoma na mna elimu kubwa? Au sisi la saba hatuna thamani humu JamiiForums?

Nimeskitika sana kwa kweri 🤕
 
Back
Top Bottom