Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nilidhani umetukanwa kumbe wanaotaka wachumba wako wawili tu na umewapata kisha unalalamika. Ulitaka hata wasiotaka wachumba na wanaume wakufuate pm?Hivi karibuni niliweka tangazo la kutafuta mchumba, hatimaye nimuoe huko mbeleni Mungu akipenda. Nikaeleza elimu yangu la saba na kazi nafanya za nguvu kwa nguvu yaani kumwaga zege na vibarua vya ujenzi na kubeba tofaari,
cha ajab ni watu wawili tu ndio walikuja PM. Bahat mbaya wako mbali na dalisalamu.
Niombe kuuliza, humu wote wakuu mmesoma na mna elimu kubwa? Au sisi la saba hatuna thamani humu JamiiForums?
Nimeskitika sana kwa kweri 🤕
Weka la kutafuta single mother sekunde tu PM imejaaHivi karibuni niliweka tangazo la kutafuta mchumba, hatimaye nimuoe huko mbeleni Mungu akipenda. Nikaeleza elimu yangu la saba na kazi nafanya za nguvu kwa nguvu yaani kumwaga zege na vibarua vya ujenzi na kubeba tofaari,