Watu wa humu ni wabaguzi kwa sisi wa la saba

Watu wa humu ni wabaguzi kwa sisi wa la saba

glad to have you back

IMG_8569.jpg

Asante classmate
 
hivi karibun niriweka tangazo ra kutafuta mchumba.hatimae nimuowe uko mbereni mungu akpenda.nikaeleza erimu yangu rasaba na kaz nafanya za nguvu kw nguvu yaani kumwaga zege na vibalua va ujenzi nq kubebq tofqari
cha ajab watu wawiri tu wariokuja piemu.bahat mbaya wako mbari na dalisalamu.
Je niombe kuuriza humu wote wakuu mumesoma na muna maerimu?au ss rasaba hatuna samani humu jf folam? nimeskitika sana kwa kweri [emoji856]

IMG_7908.jpg
 
Hawataki Utawafia kifuani wakati mafao huna,Mwanzoni ungesema ni mstaafu ofisi ya waziri MKuu huko ungeshakula nyapu zakuzidi.
 
Back
Top Bottom