Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Kwa kweli Mh Rais na PM wanafanya kazi sana inabidi wakati mwingine wapumzike. Mh Rais ana mori ya kuwatumikia Watanzania hivyo haoni kwamba kupumzika ni muhimu anaona ni kupoteza muda. Hapo ndipo wanatakiwa hawa wasaidizi wake waingilie kati na kumlazimisha apumzike.Kwani akisema anahitaji kupumzika Kuna mtu atamlazimisha?
Alikua anaenda kupumzisha kile kibetrNi kweli likizo muhimu. hata "mwendazake" alikuwa akishapiga mzigo kwa muda alikuwa anaenda likizo Chato, hivyo Mama yetu naye ajipe wasaa wa kupumzika,
Bila shaka alikusimulia mamaako kuhusu kibetri maana nasikia walikuwa maswahiba kweri kweri!Alikua anaenda kupumzisha kile kibetr
apotee jumla bhanaI agree
Binafsi namsifu sana Mama
Ana energy sana ya kuchapa kazi
But still after kazi kubwa u deserve a lil rest
walau wiki moja mama apotee machoni kwetu apumzike japo kidogo
Kwan ni uongo jeshi halijapelekwa mtwara mkuu?Mama siku moja amehutubia Mara 3 kwa mavazi tofauti na hotuba tofauti na kukutana na sura tofauti.
Kiafya sio good kabisa.
Awe anaandaliwa matukio maalumu.Mengine awaachie mawaziri wake.
Mfano hai;
Jana kafanya tukio la jeshi.
Leo tukio la jeshi.
Pia waliomwandalia hotuba wawe makini
Mfano
Rais amesema Tumepeleka wanajeshi mtwara.
Siyo jeshi limpe taarifa yeye