Watu wa itifaki hapo Ikulu naombeni mpeni Rais wetu mapumziko sasa

Watu hamna ya kufanya, wewe inakuhusu nini? Wacha azurule mitaani Kama bado ana nguvu...
 
Watu hamna ya kufanya, wewe inakuhusu nini? Wacha azurule mitaani Kama bado ana nguvu...
Na ata kama angedondoka tatizo nn? Si anainuka tena tu? Tena ndo vizuri amiri Jesh ni Zaid ya komandoo, angedondoka tu nakuinuka kikomandoo.
 
Wazanzibar wanaongozwa na Watanganyika. Mama anapangiwa trip nyingi ndani na nje ili wamchoshe na asigombee uchaguzi ujao au kama atagombea basi pawe na pakumsemea kuwa hana Afya ya kutosha kwenye kunyang'anyilo. Ni vile tu mama ametangaza nia lakini chama huku bara hakimtaki. CCM inawenyewe bhana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…