Mkuu unatakiwa uwelewe hii jf imebeba watu wa kila aina ,na si kila mada utayoleta umu wote wataifurahia ,kwa kuisoma na kuchangia ,
.
Kwahiyo watu wanaweza wakasoma ,na pia wasichangie,
pia mada inaweza ikachangiwa na watu na pia uzipate like nyingi kulingana na wachangiaji, Inategemea ulichoatindika kimeeagusa vipi watu na kwa kiasi gani ndivyo upate like,
Naamini ukiwa una Hojaza msingi na zenye kugusa watu ,like utapata nyingi tu ,maana umu watu hawangaliani usoni maana hawajuwani,Kinachoangaliwa hoja na uwezo wa mtu kuwasilisha mada husika .
ukumbuke umu kuna watu wanauelewa wa hali ya juu ni ngumu sana kuwashawishi kama hujajipanga ,