Watu wa JamiiForums ni wagumu sana kutoa like

Watu wa JamiiForums ni wagumu sana kutoa like

Like hutegemea ulichokitoa kimepokelewa vipi mkuu
Itafika kesho utasema mbona baadhi ya post hazina comment

Na ni kweli unaanzisha dhread inakaa hata wiki no comments hiyo yote ni upo out kwa watu wengi
 
Huku kuna like za aina nyingi.
Za point nzito na zenye maana
Za kuchekesha
Za kujuana
Za kutafuta vipoozeo
Za kurudisha fadhila
N.k, we ukichunguza kwa makini utagundua hilo. Ukipata like moja we yakutosha kwani wapeleka wapi nazo hizo!!
 
watumiaji wa jamiiforums tujifunze kuwapa watu moyo.

ktk afrika mashariki jamiiforums ni jukwaa ambalo naweza kusema ni moto wa kuotea Mbali.
na hili jukwaa limefikia hapo lilipo kwa kwasababu ya watu kujitolea.

mm ni mfuatiliaji mzuri sana wa mada za jf wakati mwingine unakuta mada imesomwa na watu 3000 lakini unakuta mtu aliyeleta mada amepata like 1 au hajapata kabisa.

na ninauhakika waliweka kitufe cha like jf hawakuwa wapumbavu lazima kunamaana.
na ninaomba hiyo maana tuitumie pale inapo stahili.
then unazipeleka wapi
 
Kule facebook, instagram na kwingineko likes wanaitumia ndivyo sivyo wanaitumia kama alama ya kujuana na kusapotiana hata kama umepost na kuongea pumba.

Tofauti na jamii forums, hapa utakula like kama watu wamekuelewa na kuvutiwa na hoja yako
 
Watumiaji wa JamiiForums tujifunze kuwapa watu moyo.

Katika Afrika Mashariki JamiiForums ni jukwaa ambalo naweza kusema ni moto wa kuotea Mbali na hili jukwaa limefikia hapo lilipo kwa sababu ya watu kujitolea.

Mimi ni mfuatiliaji mzuri sana wa mada za JF wakati mwingine unakuta mada imesomwa na watu 3000 lakini unakuta mtu aliyeleta mada amepata like 1 au hajapata kabisa.

Na nina uhakika waliweka kitufe cha like JF hawakuwa wapumbavu lazima kuna maana. Na ninaomba hiyo maana tuitumie pale inapo stahili.
Pamoja na replies zaidi ya 37 na viewers kadhaa... Still una like 5 tuu. Hii ndo Jf wanapeana wenyewe kwa wenyewe tuu. Ngoja mshanaJr apost ka photo utaona like 100[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Pamoja na replies zaidi ya 37 na viewers kadhaa... Still una like 5 tuu. Hii ndo Jf wanapeana wenyewe kwa wenyewe tuu. Ngoja mshanaJr apost ka photo utaona like 100[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Back
Top Bottom