Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Abarikiwe akupe raha mpaka Mwenyezi Mungu atakapokuhitaji kwenye ufalme wakeYaaan Mzigua Raha anazonipa G natamani hata mjue lakin nashindwa kushare yaliyomo moyoni mwangu aisee ananipa raha mno,sijawah pata aisee mama yake alimlea haswaa
Nawe utafaidi mengi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
hapa mnanitafuta ugomvi kunifananisha na G!.. sheria za bro code haziruhusu kufananishana wanaume!
Hamna ile nakuaga nakutisha tu, tukifika nje wanaenda makwao mbona!..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wick mzee wa kujibebea akienda club kanishinda huyu mwanaume
hii ndio sentensi niliyoielewa kuliko zoteAcheni umbeya fanyeni kazi mkituiga ambao hatuna kazi mtakufa makalio juu
Sawa ni kweli jamaa yangu ni malaikahapa mnanitafuta ugomvi kunifananisha na G!.. sheria za bro code haziruhusu kufananishana wanaume!
Na tuseme AmeenAbarikiwe akupe raha mpaka Mwenyezi Mungu atakapokuhitaji kwenye ufalme wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe huna malalamiko?Nilitaka kushangaa huu Uzi wa mama Sabrina G asiwekwe angalau kasentensi kamoko tuu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji126] [emoji126] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] miss u DabyVipi kuna mtu kaibiwa humu ndani?
"Wale wanaume wapenda ubuyu tukutaneni PM nina ubuyu mpya akasema John"
Hatuna kazi mtuajiri basi,ili mtuache kusemaYaani wewe na genge lako kuna tatizo linalowasumbua.
Yawezekana kuna biashara haramu (kujiuza) huwa mnaifanya huku.
Au kudanga. Kila siku nyie ndiyo mnasemwa tuu, na kuvujishiwa picha kwa nini siyo wengine?
Tafuteni kazi za kufanya acheni kiki za kipumbavu. Pia itawasaidia kupumzisha papuchi zenu.
Tutawadhalilisha tuu HAMNA NAMNA
Abarikiwe akupe raha mpaka Mwenyezi Mungu atakapokuhitaji kwenye ufalme wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi...Naona wanakuonea hawa watu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wick mzee wa kujibebea akienda club kanishinda huyu mwanaume