Watu wa jf wanapenda umbea kweli

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimetoa mfano tu
Papa unipangie tarehe kama Necta na kunigawa unigawe kama karanga!.. Tutafika tu Shunie kweli tena!
 
Hamna ile nakuaga nakutisha tu, tukifika nje wanaenda makwao mbona!..

Halafu title ya hii mada inaniogopesha mie na umbea tena!.. hebu nipe kiufupi mmeanzia wapi nyie watu.
Wanaenda makwao umekuwa joka la kibisa huu uzi haukufai babe wewe na hizi mambo wapi na wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…