At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,533
- 3,595
Hahahahaaaa..Nitatuma sceeenshot na picha yake
[emoji252] [emoji479]
Usizani ndio nimemaanisha ucheze mechi za ugenini na wewe sasa!...Huo ndio uanaume baby
Hajawahi hata moja na wala hafikiriiiKashakupa taraka 2 au bado hata moja!?..
Mi nakupendaYaan humu ukiandika mada zenye tija wala hawachangii andika upuuzi ,umbea,udaku watapigiana simu,wataitana mbaya zaidi wanaume ,bora wanawake tunajuanaga ni wambea tunachambana yanaisha,,wanaume ukiwa mbea lazima tukushangae,,kuna wanaume wambeya humu mnapenda kuchunguza mambo hata hayawaingizii pesa yaone kwanza.
Kazi kulalamika wanawake wanapenda pesa kutwa mnakalia umbea mlitaka tupende nini waone
Ila kuna wanaume humu ukibahatisha utakula raha kama nene ,wako positive,waelewa hawapendi umbea utafurahia maisha ,yale mambea sasa heee linataka kujua mama s yupoje ,,oyaaa mi wa kawaida tu mnadhani natoka jupiter ama[emoji57][emoji57] uwe unanijua hunijua hainihusu wala hainitishi humu na siogopi mtu yeyote humu mimi nakaaga kimyaa nikiona yamenishinda nalipuka nalipuka haswa ,eti ooh namjua mama s so whaat ,ukinijua nakuongezea pesa bank ama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mme wangu ananijua zaidii na ni bonge la bwana sio hutaki kunya mtungi wa gesi sio nyie wa...... wa humu ,,
Heko kwa wote mnaonikubali na ninaowakubali pia mbarikiwe mimi sio pesa kusema nipendwe na kila mtu
Acheni umbeya fanyeni kazi mkituiga ambao hatuna kazi mtakufa makalio juu
Mama G
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungekuwa na pesa tungekupata tu sema huna huna hadhi ya kuwa na sisi pia,kunywa maji upoe tu usikilizie kama imekuuma jibebeHuwezi kudanga kwangu hauna hadhi. Sababu ni kama zifuatazo,
1: kama nyie kila siku jf yote ndiyo mnasemwa maana yake nyie ni cheap.
2: kwa maelezo yenu na malalamiko yenu inaonyesha mapapa yenu humu jf ni walezi wa wana.
Mmeigeuza jf kuwa kijiwe cha kupiga uprost... Mimi hamuwezi kunipata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahahahhaah Wick unajua una maneno yanaumiza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata kama nikimuangalia atakuja sema wengine wote nyani kasoro yeye kwa G sasa wewe malaika katoto kazuri kacheshi kamdoli ufananishwe na nyan kisa dudu ya mtu kweli!!..
[emoji23][emoji23][emoji23]Hizi nyuzi ukizisoma huku unapata ugimbi ,raha sana
[emoji767]101-03-821.M|T|C
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanaweza kuwa na majina ya kiume lakini wengine michicha mwiba(huchoma lakini inaliwa).
Ndukiiiii [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Kwa sababu mm sina moyo eenhUsizani ndio nimemaanisha ucheze mechi za ugenini na wewe sasa!...
Soon utamuona we utaninyang'anya ,hakuna mpuuzi yeyote narudia yeyote anaemfikia humu G kwa chochote kile kuanzia muonekano hadi pesa hawataki wakufe [emoji57][emoji57][emoji57]Mie natamani tu nimuone G
Hayo mengine
Sms sent and delivered
[emoji252] [emoji479]
Hahaha hapana simchukuiSoon utamuona we utaninyang'anya ,hakuna mpuuzi yeyote narudia yeyote anaemfikia humu G kwa chochote kile kuanzia muonekano hadi pesa hawataki wakufe [emoji57][emoji57][emoji57]
Sent using Jamii Forums mobile app
Weeeh Wick wangu sio mpuuzi mtoe hapo kwenye list ya wapuuziSoon utamuona we utaninyang'anya ,hakuna mpuuzi yeyote narudia yeyote anaemfikia humu G kwa chochote kile kuanzia muonekano hadi pesa hawataki wakufe [emoji57][emoji57][emoji57]
Sent using Jamii Forums mobile app
HallelujahHahaha hapana simchukui
Nimeokoka nampenda bwana
[emoji252] [emoji479]
Nakuaminiaa ila ile sauti yako hapana aisee ngoja nichochee limbwataaHahaha hapana simchukui
Nimeokoka nampenda bwana
[emoji252] [emoji479]
ohooo!!... nini tatizo tenaa!??Ahahahahahhaah Wick unajua una maneno yanaumiza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app