Watu wa jf wanapenda umbea kweli

Watu wa jf wanapenda umbea kweli

Mbona Ile picha unaonekana kibonge
Au wame edit?

[emoji252] [emoji479]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watakuwa wameiedit
 
Kitendawiliiiiii
Watu tegaaaaaa
Inaingia kwa siri sana ila matokeo yake kila mtu anajua ulifanya bila dawa ya penzi.
Ukiona manyoya ujue kasha tafunwa
Na aisifuye mvua ....imemfanya kitu mbaya kwa wigi lake la kukopa
 
Back
Top Bottom