Watu wa kabila la Wamiao mjini Liuzhou mkoani Guangxi China washerehekea Tamasha la Manghao

ldleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
1,116
Reaction score
1,121
Februari 7, 2023, Kaunti ya Rongshui ya kabila la Wamiao, mjini Liuzhou, mkoani Guangxi, China ulikaribisha tamasha la kila mwaka la "Manghao." Mang Hao ni mungu wa milima katika hadithi ya kabila la Wamiao, ambayo inaashiria afya na maisha marefu, uadilifu na urafiki, bidii na ujasiri, na bahati nzuri na furaha.


 
Sisi tukifanya mila zetu kuna wafia dini wanasema uchawi 🚮🚮🚮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…