Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
- Thread starter
- #161
Una bahati ungebaki na kovu la kutisha.Ndio kilipona baada ya miaka 2 baadae tena bila dawa yoyote 😀😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una bahati ungebaki na kovu la kutisha.Ndio kilipona baada ya miaka 2 baadae tena bila dawa yoyote 😀😀😀
Mimi muoga kwa kweli,Sikuogopa kovu bali ule mchongoko wa wembe kisha ukate ngozi yangu kwa kweli hapana .Una bahati ungebaki na kovu la kutisha.
Punguza uoga, uoga wako umaskini wako.Mimi muoga kwa kweli,Sikuogopa kovu bali ule mchongoko wa wembe kisha ukate ngozi yangu kwa kweli hapana .
Sio kwetu.kila mahali