Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,589
- 35,268
Ukweli ni kwamba kwenye hii nchi Kanda ya kaskazini inaongoza Kwa kuwa na rasilimali zenye kuingiza pesa za kigeni ... Sehemu popote ambapo mzungu anapapendelea automatically hapo kuna kisima cha hela.
Wanalofanyiwa wamasai Kwa sasa ni uonevu wa Hali ya juu , Leo wanafukuzwa na inasemekana kuna mwekezaji ambaye uwekezaji wake haupo wazi , sababu zinaweza kuwa zimejibanza kwenye maslahi ya Taifa lakini Taifa letu Lina mfumo mbovu wa ulinzi wa rasilimali za Taifa..!!
Tumeshuhudia watanzania wengi wakifukuzwa toka maeneo ya migodini , watu wakaondolewa wakat mwingine Kwa mauaji kisa anapewa mwekezaji ,tukaja kugundua kumbe mwekezaji anachukua almost kila kitu , serikali inakosa inachokitaka na wakazi wamefukuzwa yaani inakuwa total loss , kisa tu kuna genge lilinufaika Kwa vi-billion kadhaa Kwa Gharama ya kuumiza raia wengi.
Kuhusu Ngoro ngoro , Kama sa hv mmeamua kulinda mipaka , mipaka inatakiwa ilindwe kuanzia pale walipoishia sa hv ili wasiendelee mbele na sio kuwaondoa Kwa nguvu....!!!
Hawa watu wasio na utu wakiachwa hv wakimaliza Ngoro ngoro , watahamia mlima kilimanjaro , wakimaliza mlima kilimanjaro watahamia Mgodini Mererani