Watu wa Kigoma kuna salamu zenu huku

Watu wa Kigoma kuna salamu zenu huku

Nimezaliwa kigoma nimesomea kigoma nimeajiriwa mwanza na nina mashamba makubwa kigoma asilimia 98 na ulivyoandika ni UONGO
Npo kigoma nimezaliwa hapa 1975 maweni pale hayo yaliosemwa ni ukweli mtu kunasiku kabouru aliwahi kusema inatakiwa tukaombe uhuru wetu kwa wabeligiji nilikuwa bado mdogo uliyo yaliosemwa nilifikiri naona pekeyangu inadhunisha sana hadi leo kupata tiketi nimtihani mkubwa tuondolewe usumbufu huu naipenda tanzania
 
umemaliza kiongozi
 
Na yenyewe hii ni turufu ya kushinda uchaguzi?

Haya kwa nn Kenya wako huru Arusha Knjaro Tarime Tanga na Pemba?

Kwa nn msumbiji, Malawi, Zambia wako huru na mipaka yetu?

Hizi zitakuwa siasa za kidini za mzee wa Kimanyema kama ulivomtaja labda ni boss wako pia kakutuma ulete hapa ujinga huu.

Muulize lini anafanya kampeni mikoa yenye wakristo wengi? Idiot.
 
Unatakiwa uthibitishe hayo yaliyotajwa yapo au hayapo, kama wewe siyo mwanakigoma waachie wenyewe wanakigoma wanafahamu
 
Mwambieni ZZK aache udini. Nimemwambia Twitter kakimbia sasa huku naona upo agent wake.

Hata Membe kumpoka ugombea Urais sbb kuu ni kafiri tu hamna lolote nyie wadini wakubwa.
 
Kama ni wadini kweli kwa nini wasimuunge mkono Rungwe au Lissu ni dini yao?
Mwambieni ZZK aache udini. Nimemwambia Twitter kakimbia sasa huku naona upo agent wake.

Hata Membe kumpoka ugombea Urais sbb kuu ni kafiri tu hamna lolote nyie wadini wakubwa.
 
Mwambieni ZZK aache udini. Nimemwambia Twitter kakimbia sasa huku naona upo agent wake.

Hata Membe kumpoka ugombea Urais sbb kuu ni kafiri tu hamna lolote nyie wadini wakubwa.
Jibu hoja vyenginevyo ww ndio utaonekana una elements za udini kwa sababu kwenye bandiko lake sikuona kuihusisha Dini na hizi hali zao
 
Back
Top Bottom