Watu wa kusini( Lindi na Mtwara) ndiyo watu wanaongoza kuwa na akili Tanzania mzima

Zee la madawa

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
1,895
Reaction score
4,478
Ndiyo huo uhalisia watu wa kusini hasa hasa Lindi na Mtwara ndiyo watu wanaongoza kuwa na akili Tanzania mzima yaani hawa watu wa kusini ndiyo gamer changer Tanzania mzima tu ila ndiyo hii nchi watu wanakaza mafuvu tu kutokana na ubinafsi wao wewe mtu kama Mkapa ona baada ya kukabidhiwa nchi tu si unaona alichokifanya nchi ilikuwa inaelekea sehemu mzuri na uhakika angetokea mtu mwingine kutoka kusini nchi ingepiga hatua zaidi.

Leading,greater thinker and best motivation speaker in East Africa and Africa joel nanauka amepita kwenye kugombea ubunge na bila shaka ana nafasi kubwa sana kuwa waziri iwapo akishinda huo ubunge na kwa Mtwara lazima ashinde tu huyu jamaa ni genious ila ametokea Mtwara ona madini anayoshusha kila mtu anajionea,Beda amuri architect wa Kariakoo sasa huyu haina haja kumuelezea kwasababu kila mtu anaijua kariakoo.

Kusini( Mtwara na Lindi) best hospitality place in Tanzania # Karibuni Kusini#
 
Kuna kipindi nilienda huko Kusini niliona maajabu watu wa kule hawajui kama Kuna mashariki au magharibi.
Wao kwakuwa kwao kunaitwa Kusini basi mtu akitoka sehemu nyingine akaenda kule kwao wanajua katokea Kaskazini.
Nilishangaa sana
 
Kwanini Kawawa aling'oa reli ya kusini? Zile zilikuwa ni akili ama matope?
 
Kuna kipindi nilienda huko Kusini niliona maajabu watu wa kule hawajui kama Kuna mashariki au magharibi.
Wao kwakuwa kwao kunaitwa Kusini basi mtu akitoka sehemu nyingine akaenda kule kwao wanajua katokea Kaskazini.
Nilishangaa sana

hapa hujatupiga kweli mkuu? 😁
 
Kuna kipindi nilienda huko Kusini niliona maajabu watu wa kule hawajui kama Kuna mashariki au magharibi.
Wao kwakuwa kwao kunaitwa Kusini basi mtu akitoka sehemu nyingine akaenda kule kwao wanajua katokea Kaskazini.
Nilishangaa sana
😂😂😂

Hii ina ukweli japo umeongeza kajichumvi kidogo.
 
Kuna kipindi nilienda huko Kusini niliona maajabu watu wa kule hawajui kama Kuna mashariki au magharibi.
Wao kwakuwa kwao kunaitwa Kusini basi mtu akitoka sehemu nyingine akaenda kule kwao wanajua katokea Kaskazini.
Nilishangaa sana
Yeah tofauti na Dar, ukisema mkoa mwingine kwa wengi unaonekana umetoka Kaskazini.

Ni mazoea tu, tutafanyia kazi
 
Back
Top Bottom