MijaleniM
Mkalapa kwa Suma au darajani kwa Joseph Kidando
Kwanza fika mchinga kijijin ukiwa unatoka dar ni kama km25 kabla ya kufika lindi, ukifika hapo mchinga kuna kijiji kipo pembezoni mwa bahari hiyo ndo mchinga 2Habari ndugu zangu wa kusini, mi sio mtu wa kusini ila nina ndugu yangu namtafuta nilielekezwa kwao ni lindi vijijini, kijiji kinaitwa mchinga namba 2, yeyote anayeishi huko au kupajua vizuri, msaada.
Baah banee ulitapia kweli kuchangia na weweLikavenga
Kufupa
Hiii-yan sio mimi
Kumenya
Kutapia
Nguu
Ha ha haa based in Nach vumbi....nb mimi sio mkazi ila nimekuwepo sana huko kwenye msimu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha, tukutane Mwena Park kupata sodaMijaleni
Hapo pa hiiii umenikumbusha mbali.. Yaan uongeaji wa watu wa kusini hadi raha na hiki kilafudhi chetu..Likavenga
Kufupa
Hiii-yan sio mimi
Kumenya
Kutapia
Nguu
Ha ha haa based in Nach vumbi....nb mimi sio mkazi ila nimekuwepo sana huko kwenye msimu
Sent using Jamii Forums mobile app
BRUmenikumbusha mitaa ya masasi..mtandi, kaumu, newala road, adam viazi...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani jee..kiulizo..au inakuaje?Pale masasi BR bado inatamba?
Tuambieni maana ya:-
Kwani je?
Kubebesa,
Mnonji,
Baa!
Hii ni baadhi ya misamiati/maneno ambayo huwezi kuisikia mikoa mingine zaidi ya Lindi na Mtwara, me naanza na hii:-
Kudekelela
Kunyenga
Kunyeng'elesa
Mwandu
Nchonyo
Nang'ongo
Ming'oko
Kwapwapwasa
Mkomela
Chikandanga
Chinduri
Pitiku
Manda
Msambura
Nawe wa nyumbani ongezea ya kwako.
PapuchiHiyo Nang'ongo ni kijiji au jimbo?
Shangani ni sehemu mzuri sana
Ooh nilitaka maana ya Hilo neno la huo mji..but thanks
Hebu tuwasubir Wadengereko maana hawa ndio wazawa wa huo mji..
Hebu tuwasubir Wadengereko maana hawa ndio wazawa wa huo mji..
Yaah Kilwa DistrictHiyo ni Kilwa