kwan Makonda alitarajia kuwafurahisha au kufanya kazi za waTanzania kwa bidii na weledi πTangu Makonda arudi kwenye jukwaa la siasa imekuwa kama vile yeye ndio waziri mkuu, makamu wa rais au rais mwenyewe.
Sio kila mtu anafuria jambo hili na ndio maana hata Makonda mwenyewe tayari alishaanza kulalamika kuwa kuna watu wanamtafuta wamuue.
Makonda awe makini anaposafiri kwenda Kusini, Kanda ya Ziwa na Magaribi!
Wananchi wengi hawafurahishwi na hadaa za majukwaani zisizo na tija. Watu wanataka maji, sukari na maendeleo mengine na sio vumbi la misafara mirefu ya magari ya kifahari.
Kazi gani ya Watanzania anatofanya kwa weledi na bidii zaidi ya kuikashifu Chadema na Mbowe?kwan Makonda alitarajia kuwafurahisha au kufanya kazi za waTanzania kwa bidii na weledi π
suala la kufurahia au kukasirikia anachofanya Makonda ni maoni na mtazamo binafsi wa mtanzania yeyote yule huru π
kiujumla kijana anafanya kazi vizuri sana licha ya changamoto kidogo za negativity kama hizi yaaani, but kazi inakwenda vizur sana.....
R I P Laigwanan Comrade EL
Kwani huo msafara anaupanga yeyey Makonda au Ccm wenyewe?Tangu Makonda arudi kwenye jukwaa la siasa imekuwa kama vile yeye ndio waziri mkuu, makamu wa rais au rais mwenyewe.
Sio kila mtu anafuria jambo hili na ndio maana hata Makonda mwenyewe tayari alishaanza kulalamika kuwa kuna watu wanamtafuta wamuue.
Makonda awe makini anaposafiri kwenda Kusini, Kanda ya Ziwa na Magaribi!
Wananchi wengi hawafurahishwi na hadaa za majukwaani zisizo na tija. Watu wanataka maji, sukari na maendeleo mengine na sio vumbi la misafara mirefu ya magari ya kifahari.
kwani ni kiongozi wa chadema Makonda π€£Kazi gani ya Watanzania anatofanya kwa weledi na bidii zaidi ya kuikashifu Chadema na Mbowe?