Watu wa mamlaka ya sanaa pigeni marufuku Bongo Star Search

Mi naonaga machalii wa R ndio wanaongoza kuchekwa pale BSS

Yan wanayacheka mpaka mashati yao just imagine[emoji33]
 
nimesikitika sana leo nkiwa naagalia marudio ya BSS aisee ..mshiriki anaambiwa hana mvuto, ana sura mbaya na habebeki ....Hizi kauli siyo nzuri halafu anaabiwa binti wa miaka 20

SIJAPENDA

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Imfikie judge lesbo wa zenj,yule boya nahisi BSS ndio anatolea stress zake za maisha anadhalilisha watu sana!! ***** zake na sura yake nzito kama kimba
 
Wapo waliosema hawana vipaji leo ndio wanatafuna pesa hao BSS wapo kukatisha ndoto za vijana kwa asilimia kubwa..
Ndivyo maisha yalivyo kwani wewe shuleni hakukuwa na watu wanafail lakini leo wamefaulu maisha? Sasa kama mtu hajui unataka aambiwe nini zaidi ya kuambiwa hajui?
 
washiriki wenyewe wengi hawako serious[emoji3][emoji3]
 
Hawa madogo wameshangaa kweli wananiuliza dad unacheka nini peke yako
 
Hizi ni tabia za kijinga badala ya kumtia moyo na ushauri afanyaje sisi kazi yetu ni kukosoa tu na hii tabia ipo maeneo mengi mno hapa kwetu
 
Mtoa mada hakuna unachojua. Master J ni mtayarishaji wa mziki, mkongo ni mtaalam wa vocal, na dullysykes wote waimbaji hivo chief jaj ndo haimbi ja salama ila wengine ni wanamziki professional. Masterj ni sound engineer
 
Ndivyo maisha yalivyo kwani wewe shuleni hakukuwa na watu wanafail lakini leo wamefaulu maisha? Sasa kama mtu hajui unataka aambiwe nini zaidi ya kuambiwa hajui?
Mmekaa kukatishana tamaa tuu ndio maana life inakua ngumu kwa watu wengi tembea tembea kidogo uone baadhi ya maeneo na Nchi zingine wanavyowasaidia vijana wao...
 
hiyo bongo star search kwio hiyo, wanaoshinda huko mbona hawafikagi popote? wakishakabiziwa pesa tuu na kuimba kwishne. Wanaokuja kutoboa ni yale ambayo hata hayajui maana ya bongo star search au wale waloshindwa kabisa bongo star search kama kina dimond na harmonize

bongo star search haisaidiii lolote ovyooooo, sema ni hizo pesa tuu zinamendewa na mijaji yenyewe inaweka watu wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…