Watu wa mazoezi gym trainers ..

Nina miaka 27,kilo 65.3,uref ft 5 nafnya mazoez sana lkn sion mabadilik hasa kwenye tumbo . Nakosea wapi? Lishe au nn? (Ila sipndi kuwa na kifua kikubwa saana km daraja)

Sent using Jamii Forums mobile app
Zoezi zuri la kukata Tumbo ni kitaili
Full stop..... Ila uwe unajua hasa kukitumia
Enzi zangu nlikuwa nakipiga naanza kusimama na ku roll nacho....
Ila kwa wewe unaweza kuanza kwa kupiga goti na
Kujivuta nacho

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana na kunyanyua weights
Tumia kitaili,fanya setups, pull ups, push ups

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mm nataka kutoa hii abd nifanyaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…