Watu wa mazoezi gym trainers ..

Watu wa mazoezi gym trainers ..

Nina miaka 27,kilo 65.3,uref ft 5 nafnya mazoez sana lkn sion mabadilik hasa kwenye tumbo . Nakosea wapi? Lishe au nn? (Ila sipndi kuwa na kifua kikubwa saana km daraja)

Sent using Jamii Forums mobile app
Zoezi zuri la kukata Tumbo ni kitaili
Full stop..... Ila uwe unajua hasa kukitumia
Enzi zangu nlikuwa nakipiga naanza kusimama na ku roll nacho....
Ila kwa wewe unaweza kuanza kwa kupiga goti na
Kujivuta nacho

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nanyanyua weight, nakimbia, na abd, sijawahi kufanya wiki sita mfululizo bla kuacha hta sik moja, ikizi ni kama wiki nafnya kila sik na najua nafnya labda kwa mwez mara 15 zaid, nakula sana wali na maharage, mfno nikila wali usiku asbh napga chai na ikibak napga mchna , usik labda matunda (mara mojamoja ila sana ugali na samak/nyama. Nakunywa maji sana . Na sio mpenzi kbsa wa vyakula vya kukaangwa. Ni Hilo mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na kunyanyua weights
Tumia kitaili,fanya setups, pull ups, push ups

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Martine Tibe
Ngoja nikupe ushauri wa kitalaam.
Mazoezi yana nidhamu zake na kuna aina mbalimbali ya mazoezi kuendana na matakwa ya mfanyaji.

1. Kuna mazoezi ya kujenga misuli (muscles) kujenga mwili /body building

2. Kuna wanyanyua vitu vizito weight lifter hawa hujali uzito wa hayo mazoezi

3. Kuna ya kupunguza mwili/kukata mafuta.

Namba moja 1.

Hayo ya kujenga misuli yana kanuni zake.na kanuni moja ya kwanza ni ulaji wa chakula sahihi. Ya pili ufanyaji sahihi wa mazoezi. Routine.

Kama unataka kujenga na uone mabadiliko unatakiwa ule vyakula vya kuongeza nguvu na vya kujenga mwili(protein)
Then uwe na ratiba nzuri ya ufanyaji mazoezi husika.na pia ufanye kwa kufuata sets za zoezi husika kila Reps kadhaa (8-12) zinatengeneza set moja ya mazoezi.

Hivyo zingatia uzito sahihi wa dumbell au barbell. Au kama unatumia machine.

Unapaswa upate muda wa mapumziko usiopungua 8 hrs. Usitumie sana pombe,usiwe mtu wa mabinti sana/masturbation. Kula matunda,maziwa.nyama mbogamboga n.k

Train siku 5-6 kwa week.acha siku moja au mbili ya mwili kupumzika. Then njoo unambie kama hakuna mabadiliko.ntakuangalia ntakwambia nini tatizo. Mimi ni mtalaamu wa mambo hayo. Asante.
Mkuu mm nataka kutoa hii abd nifanyaje?
 
Back
Top Bottom