Watu wa Mbeya, badala ya kujichubua na kuwa kama vishetani, kwa nini msitumie mafuta ya kujikinga na jua?

tofaotisha kupaka poda na kujichubua
 
..."kuwa kama mashetani"... hapo kusema kweli mkuu umebonyeza sana na unataka kutushikia akili!

Nani alikwambia shetani huvaa sura mbovu?

Shetani ni pisi kali vibaya, ukimuona anavutia sana na lazima ufunge naye mkataba kwa hadaa ya uzuri wa sura yake.

Shetani angelikuwa mbaya mbaya kwa mfano wa sura za wanawake wachubuzi, watu wangelimkwepa.

Kiuhalisia anavutia sana, ndiyo maana watu wanajiswenka wazima wazima bila ya kugeuka nyuma.
 
Tatizo wanatumia mikorogo ya bei rahisi sio hao tu hata huku Dar unakuta mdada amechubuka uso tu mwili mweusiiiiiii au ukimuangalia miguu waweza kukimbia ilivyo meusi na imekomaa,

Nawashauri kama wanaupenda weupe watumie vipodozi vya bei ghali wanakua weupe mwili wote bila sugu na madoa doa.
 
Bila kuwasahau wanawake wa kihaya [emoji1373]
 
Hao ndio waanzilishi wa Mbagala Rangitatu.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Umeshauri vizuri sana.
 
Sasa wanapaka mafuta usoni,viganja vinasahaulika.
 
Wakorea na ule weupe wajichubue ili wagundue nn?
Wakorea wachina wanaongeza rangi usiwe mbishi, nimefanya nao kazi hao watu hawapatani na hata kidoa cheusi, wanatumia mkorogo, ukitaka kuamini tumia vipodozi wanavyotumia ndani ya muda mfupi unaanza kuwa kama unachungulia dirishanii
 
Waarabu coco,watu wa tanga na pwani nao utakuta mweupe ila anaongezea na mkorogo Noma sana,unakutana na mtu shavu limeiva hatar na lile jua la Daslam unamuonea huruma wengine wanajiamulia kuvaa ninja tu
 
Waarabu coco,watu wa tanga na pwani nao utakuta mweupe ila anaongezea na mkorogo Noma sana,unakutana na mtu shavu limeiva hatar na lile jua la Daslam unamuonea huruma wengine wanajiamulia kuvaa ninja tu
Huwa wananuka balaa sawa na kuku wa kizungu, kwangu mimi Ke awe mzuri wa asili huwa nadata sana naye, ila hata awe mzuri bandia zaidi ya ndege tausi ila ikiwa K yake haina vigezo thabiti na hana tabia njema napiga chini fasta.
 
Sipend wanawake wanaojichubua hakika, Bora uwe mweusi kama ng'ombe mweusi kuliko kujichubua, ila hao weusi wanajoto sana wakat was kula Ile sakrament takatifu
mwanamke mweusi ni mtamu sana aisee, nawakubali sana wanawake ambao wameamua kubaki na rangi zao , ukweli huku kusini wanawake wanajichibua ukijumlisha na maisha magumu vasi wanaonekana kama nyoka, halafu nikimwona demu kajichubua huwa nahisi ana UTI na STds
 
Watakua wamehamia toka nyanda za juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…