Watu wa MicroFinance wanaopiga simu kutafuta wateja, wanatoa wapi namba?

tena vigogo kweli maana havifungiwagi wala kupewa onyo. Vinaoperate kama kawaida
Wengi ni wafanyakazi wa MoF, BoT na NMB, sasa Regulators wenyewe ndiyo The Regulated, unadhani hapo kuna jambo tena mzee zaidi ya uhuni tu ? 🤣🤣​
 
Aha hii inanikumbusha the Wolf of Wall Street. The only regret you'll have, is you Didn't buy More.
 
Mimi wamekuwa wakinitumia msgs sanaa
 
Andika namba yoyote kisha piga, itapokelewa na hata jina utalijua.
 
Kuna mmoja wa wafanyakazi wa izo Taasisi alinambia wana connection na utumishi so Taarifa zako wanazipata kule nadhani wanatoa hela kidgo kupata taarifa za watumishi
 
Kama wewe ni mtumishi wa umma mtuhumiwa #1 ni HR.
 
Kuna mmoja wa wafanyakazi wa izo Taasisi alinambia wana connection na utumishi so Taarifa zako wanazipata kule nadhani wanatoa hela kidgo kupata taarifa za watumishi
Ndo maana wanaforce kupiga wakijua kuna stream ya kupata ela ya rejesho
 
Kama unallaa Guest House na Lodge ambazo zinaandika "vyumba vipo" jua ndipo wamepata namba zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…