Watu wa mijini wengi ni wagonjwa kwa sababu ya kuvaa viatu

Watu wa mijini wengi ni wagonjwa kwa sababu ya kuvaa viatu

Kuna minyoo inapenya kwenye ngozi, pia tetenus itakuhusu.
 
Mwanadamu asili yake ni udongo.

Kuna connection kubwa sana kati ya udongo na mwanadamu. Hata neno Adam ambalo limeleta neno mwanadamu linatokana na neno "Adamah" la Kiebrania ambalo humaanisha udongo.

Katika kutuumba Mungu aliweka vitu katika viganja vya miguu na mikono ambayo vikikutana na Ardhi vina-trigger karibu kila kitu katika mwili wako na kukirudisha katika utendakazi wake sahihi.

Nimechelewa kujua leo kuna watu wanakuwa mamilionea kwa kufungua vituo vya tiba ambao kufanya massage za viganja vya mikono na miguu na watu wanapona visukari, figo, moyo, mapafu. Hadi hii ingefanywa vyema kama ungepiga pushup kwa viganja vikiwa wazi. Ungetembea peku muda mrefu kila siku.

Pia kwa sababu tuliumbwa uchi. Kuna connection Kubwa kati ya wewe kuwa uchi nje ya Nyumba yako ukiangalia anga. Kwa sababu Nyumba sio asili yetu, pata nafasi Mara mojamoja toka nje ya Nyumba yako uchi wa mnyama ukiwa peku, angalia anga, shika vitu vya asili utashangaa mambo yako yatakavyokunyookea. Hata kama ndoa yako nilikuwa shidani shida itaondoka.

Mtu anayeingia kazini akiwa peku, nenda shopping Kariakoo peku, hutajuta.

Wamegundua siri hii wachache, wajinga wanasrma ni uchawi.

Wako mapadri
Wako wachungaji, TB Joshua
Wako wasanii, Mpoto
Wako wengi anza sasa sio ushamba ni akili
Nawashauri wana JF msifanye haya ya kutoka uchi nje ya nyumba zenu. Juzi usiku tu baada ya kuoga nilitoka nje (uwani) kupunga upepo kabla ya kurudi ndani kulala, kumbe kulikuwa na kijana wa jirani aliyepanda ukuta wa nyumba yangu kuja kuchukua chupi ya mpangaji wao iliyodondokea uwani kwangu.

Kwa kuwa nilikuwa nimelala huku nikipunga upepo, yule dogo aliponiona niko uchi huku sina mwelekeo wa kujitambua akapaniki na kwenda kuita watu kuwa nimefariki. Nimeshangaa naamshwa na watu kibao huku nikiwa uchi.

Hapa nina hasira na huyu dogo kunikuta uchi na kunitangazia mtaani kuwa nimefariki na kuna wengine wanasema mimi nilikuwa naroga eti nilikuwa najiaandaa kuruka usiku kwenda kuroga. Nataka niwashitaki hawa watu.
 
Kuna minyoo inapenya kwenye ngozi,pia tetenus itakuhusu
Sio kweli. Sio kila Ardhi inaminyoo. Vinginevyo kila mtanzania anaminyoo na tulitakiwa tuwe tumeshakufa. Karibu kila tunachokula na kunywa kinauhusiano na Ardhi.

Unapotosha mkuu. Tetenus atapata asiyemakini kama ambavyo wenye viatu pia wanapata
 
Nawashauri wana JF msifanye haya ya kutoka uchi nje ya nyumba zenu. Juzi usiku tu baada ya kuoga nilitoka nje (uwani) kupunga upepo kabla ya kurudi ndani kulala, kumbe kulikuwa na kijana wa jirani aliyepanda ukuta wa nyumba yangu kuja kuchukua chupi ya mpangaji wao iliyodondokea uwani kwangu. Kwa kuwa nilikuwa nimelala huku nikipunga upepo, yule dogo aliponiona niko uchi huku sina mwelekeo wa kujitambua akapaniki na kwenda kuita watu kuwa nimefariki. Nimeshangaa naamshwa na watu kibao huku nikiwa uchi. Hapa nina hasira na huyu dogo kunikuta uchi na kunitangazia mtaani kuwa nimefariki na kuna wengine wanasema mimi nilikuwa naroga eti nilikuwa najiaandaa kuruka usiku kwenda kuroga. Nataka niwashitaki hawa watu.
Mkuu hiyo Ajali tu. Sio general formulae.
Hawapaswi kuingilia faragha yako na hawjavuja tu Sheria Bali Katibu ya nchi kabisa.

Huwezi kuacha mambo ya msingi kwa kuogopa wavunja Sheria na Katibu. Hata shetani atakushangaa.
 
Kumbe ndio maana wanaotembea nusu uchi wanaombwa sana namba za simu ila kama ndio hivyo mbona wahadzabe hawapigi hatua kila Siku wanashindia mizizi na maji
 
Yupo mzee mmoja wa kihindi uwa anazunguka uwanja wa mpira akiwa anatembea yeye na mkewe wanafanya mazoezi asubuhi.

ila kunasiku zingine wanazunguka uwanja wakiwa peku,viatu wanashika mkononi.
Yule mzee aliahidi atatoa copy kijitabu kidogo kisha atanipatia nijisomee namna ya kujipa kinga ya mwili kwa njia salama.
 
Mwanadamu asili yake ni udongo.

Kuna connection kubwa sana kati ya udongo na mwanadamu. Hata neno Adam ambalo limeleta neno mwanadamu linatokana na neno "Adamah" la Kiebrania ambalo humaanisha udongo.

Katika kutuumba Mungu aliweka vitu katika viganja vya miguu na mikono ambayo vikikutana na Ardhi vina-trigger karibu kila kitu katika mwili wako na kukirudisha katika utendakazi wake sahihi.

Nimechelewa kujua leo kuna watu wanakuwa mamilionea kwa kufungua vituo vya tiba ambao kufanya massage za viganja vya mikono na miguu na watu wanapona visukari, figo, moyo, mapafu. Hadi hii ingefanywa vyema kama ungepiga pushup kwa viganja vikiwa wazi. Ungetembea peku muda mrefu kila siku.

Pia kwa sababu tuliumbwa uchi. Kuna connection Kubwa kati ya wewe kuwa uchi nje ya Nyumba yako ukiangalia anga. Kwa sababu Nyumba sio asili yetu, pata nafasi Mara mojamoja toka nje ya Nyumba yako uchi wa mnyama ukiwa peku, angalia anga, shika vitu vya asili utashangaa mambo yako yatakavyokunyookea. Hata kama ndoa yako nilikuwa shidani shida itaondoka.

Mtu anayeingia kazini akiwa peku, nenda shopping Kariakoo peku, hutajuta.

Wamegundua siri hii wachache, wajinga wanasrma ni uchawi.

Wako mapadri
Wako wachungaji, TB Joshua
Wako wasanii, Mpoto
Wako wengi anza sasa sio ushamba ni akili
Kuna yule father mapekupeku wa Morogoro huwa anazurura peku kila mda
 
Sasa mbona tunaoga Beach tukiwa uchi na peku lakini hatuwi mamilionea au hatuitwi kazini?
 
Sasa mbona tunaoga Beach tukiwa uchi na peku lakini hatuwi mamilionea au hatuitwi kazini?
Kule mindset huwa zimekaa kizinzi alafu distraction nyingi.
Wanaoenda muda ambayo haina jam na wanainteract na nature naked wananielewa ninachosema. Beach is the best place
 
Sikuamini macho yangu nilichokiona New Zealand ila nilivyokuja ku practice bongo nikaambulia nyungunyungu, mbigili ,kichocho kung'oa kucha nk kwa bongo nashauri buti la jeje livuliwe kitandani tu maana hata sebuleni kujikwaa kwa tiles nje nje
 
Attachments

  • images (16).jpeg
    images (16).jpeg
    32 KB · Views: 1
  • images (17).jpeg
    images (17).jpeg
    20 KB · Views: 1
Sikuamini macho yangu nilichokiona New Zealand ila nilivyokuja ku practice bongo nikaambulia nyungunyungu, mbigili ,kichocho kung'oa kucha nk kwa bongo nashauri buti la jeje livuliwe kitandani tu maana hata sebuleni kujikwaa kwa tiles nje nje
Asante mkuu.
Agiza juice ya mlongr hapo upate zaidi ya nutrients 100 kwa mpigo ntalipa.

Na kiukweli hayo madudu yako huko new Zealand zaidi kuliko bongo maana kuna Ardhi huku haijawahi kuganyagwa hata na sisimizi.

Wabongo waongo na waoga wa mambo Mapya sana
 
Back
Top Bottom