Watu wa mijini wengi ni wagonjwa kwa sababu ya kuvaa viatu

Watu wa mijini wengi ni wagonjwa kwa sababu ya kuvaa viatu

Ngoja nifanye utafiti,sijakupuuza
Wengi huwa wanaelewa wakati hii Elimu imeadvance na tumehamia kwenye maarifa Mapya.

Storehouse ya Mungu ktk nature ni inexhaustible. Kila siku jambo jpya. Tomaso atakuwa anakula vumbi kila siku.

Kuna watu wanalipia haya
 
Tumia muda mwingi ikiwa unaikanyaga Ardhi mkuu, hutajuta.

Unaona hata Mungu alimwambia Musa na Yoshua nyakati tofauti wavue viatu alikuwa anazungumza nao mambo ya msingi.

Hata akili yako itachaji zaidi maana kuna creational connection kati yako na ardhi
Vipi kuhusu zamani wanafunzi walivyokuwa wanasoma shule peku mbona hazikuwa zinachaji?
 
Back
Top Bottom