Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Kaandamane sebuleni kwa baba yako sisi tunaandaa mashamba kulima kama huna shamba shauri yako.Tuungane Kwa Ari na Nia Moja kuungana na wenzetu waliopo Dar Hii tusiawaachie watu wa Dar pekee yake.
MAANDAMANO NI HAKI YETU KIKATIBA.
Sawa.Kaandamane sebuleni kwa baba yako sisi tunaandaa mashamba kulima kama huna shamba shauri yako.
Wewe nyumbu kwelikweli!! Tanzania haina mkoa unaitwa Moshi!!Tuungane Kwa Ari na Nia Moja kuungana na wenzetu waliopo Dar Hii tusiawaachie watu wa Dar pekee yake.
MAANDAMANO NI HAKI YETU KIKATIBA.
Mkishageukiwa ninyi na kuanza kutekwa na kuuawa, hayo mashamba yataandaliwa na mizimu yenuKaandamane sebuleni kwa baba yako sisi tunaandaa mashamba kulima kama huna shamba shauri yako.
Vipi kuhusu mkeo iwapo utapatwa na lolote?Tuungane Kwa Ari na Nia Moja kuungana na wenzetu waliopo Dar Hii tusiawaachie watu wa Dar pekee yake.
Watu wa mbeya hii inawahusu sana.
MAANDAMANO NI HAKI YETU KIKATIBA.
Kwanini unafikiri kuwa wapinzani ni watu wa Kilimanjaro pekee?Mnapeleka vurugu kwenye miji ya watu ila kwenu Kilimanjaro hamtaki.