Watu wa mikopo ni wasumbufu sana

Sidhani kama no, ni tatizo labda kwasababu wewe ni mfanya kazi selikalini lkn kwa sisi wajasiliamali no, cm au kupigiwa cm ni anytime tena tunatamani wote muwe na no zetu ili muda wowote ukihitaji huduma au bidhaa tupigie maana shida yetu ni pesa yako huwezi kuta mfanyabiashara kafunga cm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…